Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ziara ya Mkuu wa Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa(S), Dar-es-Salam - Tanzania, Dkt.Ali Taqavi, katika Hawza ya Hadhrat Zainab (s.a) iliyopo Kigamboni - Dar-es-Salam, ili kuhudhuria katika Mashindano ya Awali ya Tamasha la 30 la Qur'an Tukufu na Hadithi Tanzania, yanayojumuisha washiriki kutoka katika Hawza na Madarisi mbalimbali.

19 Aprili 2025 - 15:38

Habari Pichani | Ziara ya Dkt.Ali Taqavi, Mkuu wa Uwakilishi Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-Salam - Tanzania, katika Mashindano ya Awali ya Qur'an

Your Comment

You are replying to: .
captcha